NIACHE NISOME
KUPUNGUZA UTORO MASHULENI,MIMBA KATIKA UMRI MDOGO, NA KUONGEZA UFAULU
Completed
Infrastructure
About this Project
Mradi/Programu ya ni ache nisome imeasisiwa kwa lengo la kupunguza utoro mashuleni,mimba katika umri mdogo kwa wanafunzi wa shule za Msingi na SEKONDARI.
Matarajio ni kuwafanya wanafunzi wanao andikishwa ndani ya Mkoa kuhakikisha wanasoma na kumaliza elimu ya lazima bila ya kikwazo chochote. Pia kuongeza ufaulu wa wanafunzi.
Matarajio ni kuwafanya wanafunzi wanao andikishwa ndani ya Mkoa kuhakikisha wanasoma na kumaliza elimu ya lazima bila ya kikwazo chochote. Pia kuongeza ufaulu wa wanafunzi.
Project Information
Status
Completed
Start Date
Dec 11, 2024
End Date
Jun 11, 2026
Budget
500,000 TZS
Location
Various locations in North Pemba Region
Priority
N/A