Our Core Values
The principles that guide our work and decisions at North Pemba Regional Secretariat.
Our Core Values
Uwazi kwa kushirikisha jamii katika shughuli zote zinazo husu maendeleo uchumi, kijamii katika makundi yote ya katika jamii
UADILIFU
Uadilifu ni kusimamia haki za raiya katika Mkoa kwa kuhakikisha makundi yate yana pewa haki sawa bila upendeleo wote
UWAJIBIKAJI
Mkoa unaewajibika katika kuhamasisha shughuli za uwekezaji,ujasiriamali,kutunza amani na utulivu uliopo pamoja na kudhibiti udhalilishaji na biashara haramu za magendo
USHIRIKIANO
Mkoa unahamasisha ushirikiano na Taasisi mbali mbali zikiwemo za Serikali na binafsi na wadau wa maendeleo.